Blogger Widgets

January 28, 2014

R.I.P Mzee Dude..Picha za Mzee wa Dude wa Futuhi akiwa Hospitali Kabla Hajaaga Dunia


NGUGU YETU,MZEEWETU AMEIAGA DUNIA LEO SA KUMI NA MOJA JIONI HATUTAKUWA NAE TENA HAPA DUNIANI 
 Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMIN