Blogger Widgets

January 2, 2014

Soma Matusi Aliyoyatoa Ray Kwa JackCliff Baada ya Jack Kukamatwa na Madawa Huko China

Kutokana na maswahibu makubwa yaliyompata Ray C juu ya madawa ya kulevya, ameshindwa kujizuia kutokusema ya moyoni mwake juu ya mwanadada Jack Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini china. Kafunguka maneno mengi sana na alionyesha ni jinsi gani alivyokuwa hamuonei huruma mwanadada Jack mpaka kuamua kutamka bora anyongwe tu. 

Soma alichokisema hapa

No comments:

Post a Comment