Blogger Widgets

January 26, 2014

Tazama Baadhi ya Picha za Show ya Diamond Platnum Nchini Kenya.Ni Noma

 Hatuna Jinsi lazima tumuandika coz ndio msanii pekee mwenye headlines nyingi kutokana na mafanikio yake..hapa alikuwa Kenya jana ..cheki picha alivyopagawisha kwenye show iliyoandaliwa na kampuni ya safaricom ya Kenya.....Mwacheni Diamond aitwe Diamond..Aka Domo
 Weka mbalii na watotto