Blogger Widgets

January 2, 2014

Tazama Picha 40 za Show Kubwa Aliyoifanya Diamond Platnum Ndani ya Mtwara,Lindi

 Nawashukuru sana watu wangu wa lindi,kwa sapoti kubwa 
waliyotuonyesha..kwenye tamasha hili lililokuwa
 maalumu kwa ajili ya kukaribisha,mwaka mpya na 
kuhamasisha amani,tazama picha za matukio wakati wa show mjini Lindi Mheshimiwa waziri Membe,alikuwepo pia