Blogger Widgets

January 6, 2014

Tazama Picha ya Watoto wadogo walioshinda shindano la picha la Ommy Dimpoz na Kujinyakulia Laki Tatu. #pkp #pozkwapoz

OMMY
Watoto walioshinda shilingi laki tatu

Katika shindano hilo Ommy aliwataka mashabiki wamtumie picha wakiwa katika mapozi mbalimbali mshindi kujishindia shilingi laki 3. Ommy amesema katika shindano lijalo atatoa zawadi ya shilingi milioni 1.
“Asante Sana kwa Ushiriki wenu na Hawa ndio Washindi wetu wa shindano la #pkp #pozkwapoz wamejishindia laki 3 nimeamua kufanya shindano hili kutokana na mapenzi yangu kwa mashabiki wangu na mashabiki wa bongo fleva ambao mmekuwa mnanisapoti kwani hii kwangu ni Ajira ambayo naiheshimu na ndio mkombozi wa maisha yangu Tukutane tena next time ambapo nitatoa zawadi
ya Milioni moja,” ameandika Ommy kwenye picha ya watoto hao aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram.