Blogger Widgets

January 29, 2014

Tazama Picha za Kipindi cha Kesho cha The Mboni Show Akiwa anahojiwa Millard Ayo na DJ John Dilinga

The Old meets the NEW presenter!!!!
Alhamisi hii The Mboni Show itakua na  watangazaji maarufu wa sasa na wa kitambo hapa nchini kwetu. Nini sababu ya kuwa kutanisha John Dilinga na Millard Ayo? Ungana na Mboni wa the mboni show kufahamu mengi zaidi kuhusu wawili hawa..
EATV saa 3 usiku kama kawaida.