Blogger Widgets

January 28, 2014

Tazama Picha za Wanawake Wabakaji waliokamatwa Huko Zimbabwa.Ni Shida


Imeripotiwa kuwa Idadi ya wanaume wanaobakwa na wanawake huko zimbabwe imekua ikiongezeka kwa kasi kila kukicha, mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Al Bayan aliwashtaki wanawake watatu kwa kosa la kumkaba kumpiga na kumbaka kwa zamu katika mji wa Bulawayo polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze,
mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae wlimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa.wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20.

No comments:

Post a Comment