Blogger Widgets

February 28, 2014

Hapa Ndio Utata Uliotokea kati ya Drake na Rihanna

Drake n Riri

EEh baada ya Bey na baby wake kuonekana wanatia hamasa wakiwa jukwaani haswa wakiimba drunk in love, sasa Drake naye aanza kumuita mama ake jukwaani hebu jionee video
naona mashabiki nao vizabi pale Riri wakati anaimba  take care huku wakigusana gusana na Drake basi watu wapo hoiiii love is in the air.......