Blogger Widgets

February 6, 2014

Mtoto wa Mzee Kinkii Azidi Kumtia Aibu Mzee wake na Picha zake za Ajabu Mtandaoni

  

Yule bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko Kijijini Mwanza.
Xdeejayz kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye accont ya Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia kawaida sana.
Hata hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka wamepiga kwa hiyari wao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo.
Jeska ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudi" Hata hivyo hali halisi wananchi wanaonekana kushangazwa na tukio hilo huku watoto wadogo nao wakishuhudia video hiyo ya bure
Mtandao huu ulifanya jitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani.
Xdeejayz kushirikiana na watanzania wanaoitakia mema nchi tuna lani vikali vitendo vya kuidhalilishaji vinavyofanywa na wasichana hao tena kwa makusudi na tunasisitiza sisi kama chombo cha habari kuwa hali hiyo haikubariki na inapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
From:Xtreme