Blogger Widgets

February 3, 2014

Picha Ikionesha Muonekano wa Mtoto wa Pili wa Kiume wa Msanii wa Bongofleva Pipi

Msanii aliyewahi kufanya vizuri na wimbo Njia Panda, Pipi Doreen, jana February 2, 2014 amefanikiwa kujifungua salama mtoto wa pili wa kiume katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam. Jina la mtoto huyo ni Brandon.
Pipi
Huu ndo ujumbe aliombatanisha Pipi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Facebook February 2 2014 pipi amepost picha ya mtoto huyo ikiwa na ujumbe huu katika picha: Nina furaha mpaka sijui nisemeje maana naweza nikaandika essay hapa lakini kwa ufupi tu…namshukuru mungu kwa kunipa nguvu…uhai…na mume wangu kipenzi kwa kunipa ujasiri wa kuleta jembe la pili…Asset kubwa kuliko zote duniani asikwambie mtu!!! Welcome to the family baby Brandon !