Blogger Widgets

February 28, 2014

Soma Maneno Ya Ostaz Juma na Musoma Alivyoomba Radhi Baada ya Kuwatukana waandishi na Maredio Presenter kuhusu Issue ya PNC

OSTAZ JUMA – AWAOMBA RADHI WATANZANIA
Leo ni siku ya tatu tangu kutokee tukio la Ostaz Juma kupost picha na video katika akaunti yake FaceBook ikmuonesha msanii PNC akiomba msamaha na kutaka kurejea tena Mtanashati.

Ostaz Juma kupitia akaunti yake ile ile awaomba radhi watanzania kwa kusema.
“NDUGU KWANZA KABISA NAOMBA NIWAOMBE RADHI KWA YOYE YALIYOTOKEANA KUBWA ZAIDI NI JUU YA POSTI AMBAYO ILIKUWEPO HAPA KWENYE ACCOUNTI YANGU,
UKWELI NI KWAMBA HAIKUWA POSTI AMBAYO MIMI BINAFSI NILIIANDIKA, KUNA WATU WENYE NIA MBAYA NA MIMI WALI-HIKE AKAUNTI YANGU NA KUPOSTI HICHO WALICHOANDIKA.

NAWAOMBA MNISAMEHE WALE AMBAO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE WATAKUWA WAMEKWAZIKA NA POSTI HIYO, NASISITIZA KWAMBA HAIKUWA POSTI YANGU NA NDIO MAANA NILIPOFANIKIWA KUIPATA TENA AKAUNTI YANGU NIMEIFUTA NA KUANDIKA UJUMBE HUU…. SISI NI WATANZANIA NA NCHI YETU NI YA AMANI NAMI PIA NI MPENDA AMANI, TUDUMISHE AMANI YETU.