Blogger Widgets

February 3, 2014

Soma Ufafanuzi na Ukweli Juu ya taarifa mbalimbali zilizagaa duniani kote kwamba rapper maarufu duniani kanye west ameanzisha dini yake, akiwa yeye kama ndiyo mungu katika dini hiyo inayotambulika kama 'yeezianity'

Linapokuja suala la ubunifu wa kisanaa katika sekta ya muziki na kama mtu, kanye ni katika kilele cha yote. hivi kariburi taarifa mbalimbali zilizagaa duniani kote kwamba rapper maarufu duniani kanye west ameanzisha dini yake, akiwa yeye kama ndiyo mungu katika dini hiyo inayotambulika kama 'yeezianity' 
Niki nukuu baadhi ya maneno ambayo yaliandikwa na mitandao mbalimbali kwamba kanisa la yeezus, wanaamini kwamba, "mmoja anayejiita yeezus [kanyewest] ni kiumbe wa mungu ambaye ametumwa na mungu kabla ya kutokea katika kipindi cha kuwepo kwa binadamu ."
the church of yeezus, they feel that, “the one who calls himself yeezus is a divine being who has been sent by god to usher in a new age of humanity.”

Baada ya taarifa kuzagaa juuhudi za kumtafuta kanye ziliendelea ili kujua nini ukweli wa taarifa zilizozagaa baadhi ya mitandao. haya ndiyo maneno ya kanye 

“in a lot of ways, after i created it, i reflected on it and thought that this was just a rehashing of christianity, but just throwing yeezus instead of jesus,”

“and you know what? that’s why i felt kanye did it. he just put the name there. jesus has all this baggage and all these connotations, and yeezus is this new thing—and that’s why i say in the ‘our savior’ part of the site, ‘we don’t speak of his public persona.’ because yeezus is when kanye elevates to that god-level, which i feel like we all have the potential to do. that’s why if it takes off, in the future, people would forget kanye and his antics, and instead focus on what the message is.”
Juhudi hazikuishia Hapo alitafutwa Moja ya Viongozi wengine walioteuliwa kuwa viongozi katika Dini hiyo na kusema manezo yafuatayo ..
"Yeye ni mtu wengi waaminifu katika utamaduni wetu," 
"Yeye ana viwango vya juu zaidi maadili na uadilifu juu. Yeye ni mtu mbunifu zaidi. Na kama ni ya kawaida na watu wabunifu, yeye anapata mengi.
“He is the most honest person in our culture,”“He has the highest moral standards and highest integrity. He is the most creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that they don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the press gives it this negative spin all the time.”

  ayari Kuna mtandao au Website maalum iliyoanzishwa kwaajili ya kujiunga katika Dini hiyo mpya ya Kanye.

Picha ni Picha Maalum inayoonekana katika Mtandao wao huo.

NJIA ZA KUJIUNGA
Imekuwa na imefanywa Rahisi sana Kujinga katika Dini hiyo ili kujipatia wafuasi wengi zaidi kwa haraka, Nia yetu si kuwafundisha Namna ya kujiumga hapana Bali ni kueleza namna tu mambo yanavyokwenda. sasa basi ukitaka kuwa mmoja wa wafuasi wa huyo jamaa ni kuchukua Kibao na kuandika maneno haya kama Picha inavyoonyesha hapo chni. hapo tayari utakuwa umeshajiunga nao katika Ulimwengu wa Roho..

Basi hii ni video Kanye West akihojiwa katika Vipindi mbalimbali akielezea kwanini ameamua Kuanzisha Dini Hiyo
From:Tanzanianewz


No comments:

Post a Comment