Blogger Widgets

February 23, 2014

Tazama Picha Jinsi AMIN na LINAH walivyofanya Maajabu kwenye show ya Dar Live

 


Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Amin Mwinyimkuu 'Amin' na Esterinah Sanga 'Linah' wakifanya vitu vyao stejini ndani ya Dar Live katika uzinduzi wa albamu ya Bendi ya Extra Bongo ijulikanayo kwa jina la 'Mtenda akitendewa'