Blogger Widgets

February 20, 2014

Tazama Picha jinsi Irine Uwoya Alivyolzwa kwenye Hospitali ya Agha Khan akisumbuliwa na Ugonjwa Ulioandikwa Humu

Taarifa zilizosemwa na rafiki wa karibu wa msanii Irene Uwoya ni  kuwa yupo katika hali mbaya zaidi na kufikia hatua ya kulazwa katika hospitali ya Agha Khan akisumbuliwa na Malaria.

Get well soon Irene....

No comments:

Post a Comment