Blogger Widgets

February 8, 2014

Tazama Picha Jinsi Ubunifu ulivyofanyika Kutengeneza Hili Vazi la Harusi kwa Kutumia Condom..DAMN!!Vazi la harusi ambalo limetengenezwa kwa kutumia mipira ya kiume (C0nd0m) limewekwa kwenye jengo la maonyesho nchini Australia.
Vazi hilo limebuniwa kwa lengo la kuhamasisha watu kuelewa juu ya athali za magonjwa yatokanayo na kujamiiana, UKIMWI ikiwa ni moja wapo.
Na limewekwa kwenye Kituo cha Burudani cha Halmashauri ya Jiji la Shoalhaven lililopo nchini Australia.
Kituo cha Illawarra Shoalhaven cha eneo hilo kinachohusika na huduma za HIV na magonjwa yanayoendana nayo kimetengeneza vazi hilo la harusi lote likiwa na cond0m kwa lengo la kuhamasisha matumizi yake kama namna ya kujikinga na maambukizi.