Blogger Widgets

February 20, 2014

Tazama Picha ya Mzungu Aliyetia Fola jana katika mgahawa ulioko karibu na eneo la Mnara wa Askari, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam.

Mzungu ambaye hakuweza kutambulika jina na uraia wake akionekana  amelewa kwa madai ya kutumia dawa za kulevya madawa ya kulevya yasiyojulikana akiondoka eneo la tukio baada ya kukutwa na kamera , Mzungu huyo alikutwa hoi mchana jana katika mgahawa ulioko karibu na eneo la Mnara wa Askari, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam.