Blogger Widgets

February 13, 2014

Tazama Picha za Lil Kim akiwa ni mjamzito, auonesha Ujauzito wake kwa mara ya kwanza

Rapper Lil’ Kim ni mjamzito wa mtoto wake wa kwanza.
lil-kim-pregnant-1
Staa huyo wa Brooklyn, 39, ameuonesha kwa mara ya kwanza Jumatano hii kwenye New York Fashion Week. Picha zake kadhaa zinazomuonesha akiwa na ujauzito ulioanza kuonekana zilisambaa kwenye mtandao wa Instagram ambapo Kim anaonekana akiwa amekaa na Paris Hilton.
lil-kim-pregnant-3

Kim amekuwa na uhusiano na rapper aitwaye Mr. Papers, lakini haijulikani kama ndio baba wa mtoto huyo.