Blogger Widgets

February 13, 2014

Tazama Picha zikionesha jinsi Timu ya Yanga alivyokuwa inapekekuliwa jana Uwanja wa Ndege wakizaniwa wamebeba Madawa ya Kulevya kwenye safari ya Kuelekea Comoro


  Jana mchana Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba mzigo ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu
na kusababisha safari yao kuchelewa kwa muda wa Nusu saa...Hata hivyo msafara huo uliendelea na safari yao vizuri.Kila la heri Young african.