Blogger Widgets

March 10, 2014

Moja ya Picha iliyomchanganya Msanii T.I ni Hii Baada Tiny ambaye ni mpenzi wake T.I Kuweka Picha Hii Picha akiwa anaonesha maumbile yake yote


Inaonekana T.I hakubaliani na vile ambavyo mke wake anavyojiachia na kuuonyesha mwili wake kwenye mitandao ya kijamii na watu wote kuona.

Rappa huyo milionea ambaye pia muandaaji wa muziki wa hip hop anaonekana kuchukizwa na vitendo hivyo vinavyofanywa na mke wake.
Toka tetesi zilipoanza juu ya T.I. na Tiny kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao, Tiny amekuwa akiweka picha zinazoonyesha maumbile yake kupitia Instagram.

Mnamo siku ya jumapili, T.I alionekana kukasirishwa zaidi na kuamua kuandika kwenye sehemu ya comment katika kumkumbusha Tiny akimwambia, ana kitu ziada kukitoa zaidi ya makali0 yake.

Hizi ni comments za T.I kwenye posti ya Tiny...