Blogger Widgets

March 8, 2014

Ommy Dimpoz ashoot video na muongozaji wa ‘Caro’ ya Wizkid, Azonto ya Fuse ODG na ‘Skelewu’ ya Davido.TAZAMA PICHA MBALIMBALI

Ommy Dimpoz anatarajia kuupeleka muziki wa Tanzania ‘next level’ baada ya wiki hii kushoot video ya wimbo wake mpya jijini London, Uingereza.
IMG-20140307-WA0002
Ommy akiwa na model atakayeonekana kwenye video hiyo

IMG-20140307-WA0003
Ommy ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa ni mapema kutaja jina la wimbo huo lakini amedai ni moto wa kuotea mbali.
IMG-20140307-WA0001
Ommy akiwa location ya video hiyo

Video hiyo imeongozwa na muongozaji wa video kutoka Nigeria anayeishi nchini Uingereza, Moe Musa. Muongozaji huyo ameongoza video za wasanii wengi wakubwa na nyimbo nyingi ni hits. Video hizo ni pamoja Azonto na Antenna za Fuse ODG, Skelewu ya Davido, Caro ya Starboy ft L.A.X na Davido, Ukwu ya Timaya na zingine nyingi.
IMG-20140307-WA0004

Moe Musa na Ommy Dimpoz

4f67a33aa55911e389ef12ac79f96301_8
Moe Musa hutoza kuanzia dola elfu 20 kwenye video anazofanya (bila kujumlisha gharama zingine)

IMG-20140307-WA0000
IMG-20140307-WA0005
3e129330a52a11e380bc0a22dc3ee402_8
Ommy Dimpoz ambaye amekuwa nchini Uingereza tangu Valentine’s Day, anatarajia kurudi nchini wiki ijayo na atajiandaa na ziara nyingine ya Muscat na Oman.
From:Bongo5