Blogger Widgets

March 15, 2014

Picha za Bibi mchawai aliyekamatwa amekula nyama ya mtoto aliyekuwa amefariki dunia mwenye umri wa mwaka mmoja.


mwanamke aliyejulikana kwa jina Mary Mbaga(70) anayeishi Kinondoni Shamba,jiji Dar-es-saaam amepata kipigo kikali kwa wananchi wakidai amekula nyama ya mtoto aliyekuwa amefariki dunia mwenye umri wa mwaka mmoja.
Baada ya kumpiga mtaani wakampeleka kwenye uwanja wa mpira uliopo karibu na tukio nakuanza kumbaka kwa zamu mpaka 12:00asubuhi aliokolewa na polisi wa doria huku mwili wake ukiwa umelowa damu!!!

           
SWALI KWA WADAU JE NI HAKI KWA HUYU BIBI KUBAKWA KWA ZAMU NA VIJANA HAO PIA NA KIPIGO JUU?JE NAO VIJANA WALIVYOKUWA WANAPEANA ZAMU YA UBAKAJI WALITUMIA KINGA? WADAU MAONI YENU PLEASE DUNIA KUELIMISHANA!!!

Ndugu yetu Deo mutta mwatanga alikuwepo kwenye hilo tukio la kipigo nakubakwa kwa huyo mama.