Blogger Widgets

March 6, 2014

Shilole Aamua Sasa Kufunguka Juu ya Huyu Mpenzi wake aliyekuwa anamficha kwa Muda Mrefu


Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa. Akizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM leo,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana sana na wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. “Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke"alisema Nuh Mziwnda
 Nuhu Mziwanda akiwa na Shilole 
Ki kweli tuna kama miezi miwili mitatu na tunapendana kweli yeye ananipenda na mimi nampenda yeye yupo real kwangu na mimi nipo real kwake nilikuwa na girlfriend kipindi hicho tumeachana , tumegombana si unajua nimekaa kipindi kirefu bila ya kuwa na Girlfriend ,yaani mabo yalifanya tukaonana tukapendana hivyo
First time nakumbuka ilikuwa studio alikuja studio kijitonyama nilikuwa zangu natengeneza beat skeleton tukaongea mambo mengi ya kimaisha hatukua in deep sana kihivyo ila tulivyo endelea kujuana tukaona kila mtu kamzoea mwenzake mimi nikiwa mbali anakasirika na mimi nikiwa mbali na yeye anakasirika end of the day tukapendana yakawa mapenzi
naye Shilole anasema kweli anampenda Nuh
"Sijamkana nuh,na kwanini nimkane kwa sababu gani?yeye ananipenda na mimi nampenda" alisema shilole na kusema yupo tayari kufunga ndoa na msanii huyo