Blogger Widgets

March 5, 2014

Soma alichozungumza Ray C kwa Tuhuma inatomkabili msanii Lord Iyes

 
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo: