Blogger Widgets

March 20, 2014

Soma Jinsi Wizi Ulivyofanyika Mpaka Msanii wa Bongo Movie Florah Mvungi Kupigwa tukio la Wizi na Kumsababishia Matatizo H.Baba

Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo chini.
‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyimbo zake yaani these thieves i hate youuuuuuuu..sasa mmeiba sawa haya na inakuwaje mvujishe wimbo wa hbaba?sasa mapigo mawili kutengeneza gari na wimbo mnavujisha TUBEBANE SONG haikuwa itoke sasa ndo nini?? Why kariakoooooo lumumba jamaniiiiii my new car..’’ alisema Florah