Blogger Widgets

March 8, 2014

Soma Kashfa Inayomkabili Msanii wa bongo Movie Jacqueline Wolper

 
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha:
“Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.”