Blogger Widgets

March 15, 2014

Soma Utata Mwingine aliokutana anao Agness Masogange

Mashabiki wamchana Agnes Masogange

EATV wamepost ujumbe ufuatao kwenye Facebook page yao, kuwafahamisha mashabiki kuwa wameshindwa kuwa na Agnes kwenye kipindi hicho:
“TAARIFA: Kwa wapenzi wa Kikaangoni Live ambao walikuwa wakimsubiri Agness Masogange kwa hamu, tunapenda kuwataarifu kuwa hatutaweza kuwa naye tena kwenye CHAT leo kama ilivyotangazwa hapo awali, kutokana na Agness kutofika kwa wakati uliopangwa.
agness-masogange-gerald
Poleni kwa usumbufu!”
Wabongo tena kama unavyowajua, wanavyopenda fursa ya
kuwachana mastaa wao, hawakukawia kuanza kumshukia mrembo huyo. Cheki screenshot hapa chini kwa baadhi ya waliyoandika:
agness-mashabiki
Hizo ni baadhi tu ya comments kwenye post hiyo, ambayo kwa sasa tayari in zaidi ya comments 500! Kwa post hiyo na comments zaidi hapa: TAARIFA: Kwa wapenzi wa Kikaangoni Live

No comments:

Post a Comment