Blogger Widgets

March 6, 2014

Tazama Huyu Msanii wa Kike wa Bongomovie alivyopiga Picha za Kuwatega Wanaume na kuziruhusu kwenye mitandao..KISA?

Star wa filamu anayekimbiza sokoni kwasasa na filamu kibao Mariam Ismail ameonekana kuweka mapozi ya Ajabu katika picha zake mpya kama anavyoonekana hapo chini........Umemuona Mariam ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kike wwaliojaaliwaa vipaji vya ukweli vya kuigiza !