Blogger Widgets

March 8, 2014

Tazama Picha za Victoria Kimani, Vee Money na Navy Kenzo waingia studio kurecord Ngoma Moja

Victoria Kimani, Vee Money na Navy Kenzo wameingia studio kutengeneza ngoma. Producer Nah Reel wa Hometown Recs ndiye anayesimamia production nzima. Wakali hao wameshare picha kwenye Instagram zinazowaonesha wakiwa studio Ijumaa hii.
5dbe5dbca5f311e3a068122faf128628_8
Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Nah Reel na Aika wakiwa studio

8bd1e33aa5f911e3a7ca12cd99773359_7


Victoria ameandika: On the Money Train!! In the Studio with @vanessamdee and @nahreelbeatz on da beat!! #eastafricangirl #HIT #WeGotOne!!

f25abfe8a5f211e3abb1124212175716_8
707fb306a5e911e3b67e0e5d8cd45880_8