Blogger Widgets

March 6, 2014

We Ulikuwa Unajua Kuhusu Hili Kuhusu Mke wa Mh Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini

Picha hizo hapo chini ni legendary wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu kwenye tasnia ya burudani nchini. Hapo akiwa na mzazi mwenzake Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa filamu nchi akiwa tayari amecheza filamu na mastaa kama Dr.Cheni. mtoto wao anaitwa Sasha.

                                              Lovely family !