Blogger Widgets

April 14, 2014

Baada ya Muda mrefu msanii Nazizi kutoka kenya na Producer Sappy kutoka Bongo Kukanusha kwamba sio wapenzi sasa Picha zimedhihirisha kuwa ni wapenzi

Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa Homeboyz Production ya Kenya, wawili hao wameendelea kuwa karibu kiasi cha kutoonesha ‘uhusiano wa msanii na producer’ wake kama walivyosema.
67c299a4af9411e3886b0e70ff76d02d_8
Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha producer huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
Like Step Father like Son - Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.
10011226_1419824444938758_199959497_n
Hawaachani

Hawaachani
2cf6750ab8b011e384b40a8e25f92cfe_8
4144ea72b8b111e3a46412d1cb0967c3_8
Kaka yake Sappy, Nazizi na Sappy
Kaka yake Sappy, Nazizi na Sappy

Nazizi akivaa nguo za brand ya Sappy
Nazizi akivaa nguo za brand ya Sappy
Sappy akiwa na Nazizi ambaye kwa sasa anamuita First Lady
Sappy na bimkubwa Nazizi
Sappy na Nazizi wakiwa safari kwenda Mwanza
Sappy na Nazizi wakiwa safari kwenda Mwanza (kwa mujibu wa maelezo yaliyoandikwa kwenye picha hii ya Instagram)