Blogger Widgets

April 20, 2014

Baadahi ya Picha ya Maajabu yaliyojili kwenye Mechi kati ya Simba na Yanga


AKINA DADAHAWA WA YANGA WALIANGUKA NA KUZIMIA WAKATI WA PAMBANO LA WATANI WA JADI
SHABIKI ALIECHUKUA TAULO LAKIPAWA SIMBA IVO MAPUNDA SASA ANAJITAYARISHA KULILUSHA KWA MASHABIKI WA YANGA


SHABIKI WA YANGA BADA YA KUFANIKIWA KUIBA TAULO  YA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA AKIWA CHINI YA ULINZI  MKALI 


SHABIKI HUYO BADA YA KULICHUKUA AKIELEKEA KWA MASHABIKI HUKU AKIANGALIA KULIA KAMA KUNA POLISI


SHABIKI HUYO BAADA YA KULICHUKA TAULO LA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA ANAWAPEKEA MASHABIKI WA YANGA NA KUWATUPIA TAULO HILO


MASHABIKI WA SIMBA WAKIONYESHA PICHA YA KIATU CHA DHABU AMBAYE MCHEZAJI WAO HAMIS TAMBWE NDIYE ANASTAHILI


UTATOKA AMA VIPI


MAPOLISI WAKIMUWEKA KATIKA ULINZI NA ATOKE SHABIKI HUYU WA YANGA KUTAKA KULETA RABSHA


SHABIKI WA YANGA AKITOLEWA NA KUWEKWA KATIKA CHUMBA CHA USALAMA HUKU AKIWA KATIKA ULINZI MKALI


SHANIKI WA YANGA BADA YA KUFANIKIWA KUIBA TAULO  YA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA AKIWA CHINI YA ULINZI


DADA HUYU AMBAYE NI SHABIKI WA YANGA ALIZIMIA BADA YA KUANGUKAAKIBEBWA NA MACHELA


SHABIKI WA YANGA AKITOLEWA NA ASKARI
SHABIKI  WA YANGA ALIEIBA TAULO YA KIPA WA SIMBA GOLINI AKITIMUA MBIO BAADA YA KUWATUPIAMASHABIKI WA YANGA ALIPOFANIKIWA KULICVHUKUA PALE GOLINI


SIMON MSUVE AKLISHANGILIA BAO LA KUSAWAZISHAKWA MASHABIKI


MASHABIKI WA SIMBA WAKISHAGILIA


REFA WA MCHEZO KATI YA YANGA NA SIMBA AKIMUONYESHA KADI YA NJANO KIPA WA SIMBA BAADA YA KUCHELEWESHA MPIRA WAKATI SIMBA IKIONGOZA KWA BAO.