Blogger Widgets

April 5, 2014

Hii Hapa Story Juu Mchumba ya Ney wa Mitego kuhusishwa na kuvalishwa peta na huyu jamaa mwingine kwenye sherehe kubwa sana Ijumaa iliyopita Kempisk Hotel na kushuhudiwa na ndugu wa pande zote mbili




Anaitwa Siwema akiwa na Mchumba wake aliyemvisha pete ya uchumba kwenye sherehe kubwa sana Ijumaa iliyopita Kempisk Hotel na kushuhudiwa na ndugu wa pande zote mbili tena mamen amemnunulia Lexus ambayo sasa anaonekana akipiga picha na Ney wa Mitego kama vile ni lake kumbe ni la huyu mamen na kwamba eti sasa ana mimba ya Ney wa Mitego something is not right hapo nani mkweli na nani ni muongo? Siwema pia ni mfanyakazi wa Precision Air Mwanza.






 
From:BLOG YA WANANCHI



No comments:

Post a Comment