Blogger Widgets

April 8, 2014

Hii Hizi Hapa Picha Mbalimbli na Video ya Mpenzi wa Ney wa Mitego(SIWEMA) akiwa na anavishwa pete na Huyu Pedeshee Deo kwenye sherehe ya kuvishwa pete uchumba.KULA UJANA SIWEMA

Akivishwa Pete


Aki wow baada ya Pete Kuvikwa


Full Ma Deep Kisses


Akionyesha Waaalikwa
 Insta Kuna Umbea kila siku yanaibuka mapya..Mweee....Hizo ni Picha Nilizozicapture kwenye Video ikionyesha Siwema ambae ni mchumba wa Ney wa Mitego Akivalishwa Pete na Jamaa Mmoja :
Video hii hapa chini ilibidii itolewee baada ya bibie kubisha na kusema picha zake simekuwa photoshoped na watu wano taka kumuharibia kwa mpenzi wake. Ni shidaaaaa

Click Hapa Kuona Video

No comments:

Post a Comment