Blogger Widgets

April 5, 2014

Huyu Ndio Jamaa ambae Ame Make Headline juu ya Kumbadilisha Msanii Nisha wa Bongo Movie na Kumnunulia Ndinga Mpya kabisa

 
Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya.
 
Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’.
Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni jarani wa msanii huyo kilisema licha ya Nisha kuendesha mkoko huo aina ya Toyota Harrier, sasa anatoka na mwanaume mwingine ambaye mara kadhaa wamekuwa wakimbonji pamoja.
“Sasa ana mwanaume mwingine, huenda ndiye aliyemnunulia lile gari analoendesha,” alidai jirahi huyo wa Nisha.
 http://distilleryimage8.ak.instagram.com/5c1ecad8bb7311e3b0000002c9dc90fc_8.jpg 
faheed255 ndio huyu jamaa
 
Nisha alipotafutwa kuzungumzia hilo alisema, ni kweli ana gari lingine ila kuhusu mwanaume anayetembea naye kwa sasa ni siri yake ila atamuanika siku si nyingi kwa kuwa wana mipango mikubwa baadaye.