Blogger Widgets

April 27, 2014

Story Iliyomake Headline Mpaka Leo ni Hii Kuhusu Msichana wa Kibongo anayejulikana kwa Jina La Shilla Kuwekwa Rumande huko London/UK kwa makosa ya kufanya mapenzi in the public

Imefahamika kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na wanaume pia. Habari hizo kutoka huko jela zinasema kwamba msichana huyu wa kibongo ambaye ameishi huko kwa muda wa Takribani Miaka zaidi ya 10 alianza kujifunza tabia hizo akiwa huko na mpaka kufikia sasa ambapo ni gwiji kabisa wa vitendo hivyo ambavyo nchini Uganda adhabu yake ni Kifungo cha maisha. Hatma ya msichana huyo mpaka leo bado kujulikana lakini inasemekana kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa bongo na Serikali hiyo. Stay tuned
 

No comments:

Post a Comment