Blogger Widgets

April 21, 2014

Tazama Muonekano wa Video Nyingine ya Kibongo Inayopigwa Chanel O.Tummoghele

i3 
Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa.
Channel O ni kituo kinachobeba maudhui ya wasanii bora kwenye bara nzima la Africa na kupata airtime huko ni fursa tosha kwa msanii.
Hii ni video nyingine kutoka kwa msaii wa Tanzania iliyoanza kupata nafasi Channel O

i1
i2
qqqqqqqqqqqqqq