Blogger Widgets

April 22, 2014

Tazama Picha za Mpenzi Mpya wa 50 Cent.So Gud

Screen Shot 2014-04-21 at 1.14.02 PM 
Daphne Joy mrembo anaeonekana kwenye picha mbili za mwanzo ni baby momma wa 50 Cent ambae mwaka jana 50 alidaiwa kumfanyia fujo nyumbani kwake Los Angeles Marekani.
Baada ya ugomvi huo kutokea unaambiwa 50 Cent ameanza kutoka kimapenzi na mrembo Tatted Up Holly ambae ndio amecheza kwenye hii video mpya ya 50 Cent na Treysongz hapa chini inaitwa ‘smoke’ ambae anaonekana pia kwenye hizi picha za chini.
Daphne alishea hizi pichaz weekend pamoja na picha ya mtoto mwingine wa 50 Cent ambae hakuwahi kujulikana kwenye media kabla. Screen Shot 2014-04-21 at 1.14.12 PM
Screen Shot 2014-04-21 at 1.14.21 PM 
Huyu hapa chini mpenzi mpya wa 50 Cent ambae unaweza kumuona zaidi kwenye video hapa chini.
Screen Shot 2014-04-21 at 2.20.49 PM
Screen Shot 2014-04-21 at 2.20.38 PM
Screen Shot 2014-04-21 at 2.19.52 PM