Blogger Widgets

April 14, 2014

Tazama Picha za Utengenezaji wa Video ya NITASUBIRI huko china

Mwimbaji wa ‘Uzuri Wako’ Juma Jux ameanza kushoot video mpya ya single yake ya sasa ‘Nitasubiri’ ambayo inadaiwa kuwa amemuimbia mpenzi wake Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya nchini China.
Jux-1
Jux ambaye ameondoka nchini wiki kadhaa zilizopita ameshare baadhi ya picha za location wakati shooting ya video hiyo ikiendelea.
Jux-4
‘on set uzuriwako video director now nitasubiri day1′ameandika Instagram
Hii itakuwa ni video ya pili kwa Jux kufanyia China baada ya ile ya kwanza ‘Uzuri Wako’ iliyofanywa na director Mghana Zeddy Benson , ambayo kwa bahati mbaya ilifungiwa kuoneshwa kwenye vituo vya hapa nyumbani kwa sababu za kimaadili.
Jux-5
Jux-3

Jux-6
Jux-2

Add a comment