Blogger Widgets

April 14, 2014

Tazama sasa Picha za Majeruhi walioadhirika na Lile Bomu lililorushwa jana Usiku Pale Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini

Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.
Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.
Majeruhi baada ya bomu kulipuka.
Mmoja wa maeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.