Blogger Widgets

April 24, 2014

Video Iliyo Make HeadLine Leo ni Hii NYANDU TOZI FT MR BLUE, IVA SON & USWEGE

Leo kupitia kipindi cha XXL on Clouds fm Rapper Nyandu Tozi wa B.O.B Click ame achia Ngoma mpya inaitwa Mambo Mengine Baadae amemshirikisha swahiba wake wa kitambo kutoka Micharazo Mr Blue pamoja na wasanii wawili wapya kwenye game ya bongo flava Iva Son na Uswege, Nyandu pia amerelease Video ya ngoma hiyo iliyofanywa na Nick Dizzo,
Nyandu Tozi na MR Blue

Nyandu Tozi
Nyandu Tozi
Nyandu Tozi