Blogger Widgets

May 2, 2014

Tazama Picha Iliyosambaa Ikionesha Jinsi Aunt Ezekiel Akionesha anavyofanya Romance Live na Mpenzi wake Kumlipa Wema Na Diamond

Aunt ezekiel afata nyayo za wema sepetu na diamond the platnumz, ni jana tu tuliona diamond the platnumz na wema sepetu waliamua kuachia picha ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi na aunt yake akaona isiwe shida, na yeye huko alipo dubai akaamua kufanya yake kwa kufanya mapenzi na mpenzi wake, na baada ya hapo akaamua kufotoa picha huku wakinyonyana ndimi na kuficha sura ya mwanaume wake, haya hao ndio wasani wetu na ndo vioo wa jamii sijui wadau mnasemaje.