Blogger Widgets

November 23, 2012

Hongera Dj Choka kwa kupata mtoto wa kiume hapo jana tarehe 22, Mungu amtangulie ili kutimiza ndoto zako juu yake.

 
Katika kitu kikubwa katika maisha yangu nilikuwa na subir kupata mtoto kama walivyo wenzangu,
hatimaye mungu kaweka nuru yake na mpenzi wangu kajifungua mtoto wa kiume salama kabisa jana tarehe 22 katika hospitali ya Lugalo Dar es salaam