Blogger Widgets

November 14, 2012

Huu ndio Ujio mpya wa Chege na mwanayumba

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Chegge Chigunda anayekubalia hapa Tzee mpaka East Africa kwa ngoma zake kali kama Mwanayumba,Kinomanoma,Mikanda,Mkono mmoja na ngoma nyingine kali sasa
Latest Info
kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliamua kuweka wazi kwamba kwa sasa japokuwa  wameshatoka ngoma yao mpya ya kundi inayokwenda kwa jina la Tutaonekanaje na wameshaitoa katika vituo mbalimbali sasa habari nzuri nyingine kutoka katika kundi ili ni kwamba wamepanga mikakati ya kufanya movie yao mpya inayokwenda kwa jina la Mwanayumba.Kwa hiyo wale mashabiki wa Tmk Wanaume Family dzain kama inawahusu hii.