| Taym ya Makeup sasa.... |
| Baadhi ya crew ya Next Level ikitimiza wajibu wake.... |
| Duh! huyu dada alikua ananishangaa kuona napaka wanja....LOL! |
| Kwa mara nyingine tena mmmh! mwenzangu.... |
| Hii ni moja ya scene...tulizozishoot tukiwa ndani ya Gari |
| Hizi ndo scene nnazozipenda mie sasa za maakuli |
| Kazi na dawa...huu ulikuwa ni muda wa makulakula |
| Dumi Utamu tena... |
| Baadhi ya models walioshiriki |
| Keisha akifanya Makeup... |
| Alawi Junior & Mubenga |