Blogger Widgets

November 15, 2012

Sinta a.k.a JLo wa East Africa afunguka na kuwatolea maneno makali wale wanaomchafua kwa matusi katika sinta.com



                                                             
                                                                             
hivi wale wenye midomo kama wanakimbiza firimbi za city hamchoki ku comment matusi/vibaya humu, kila siku mnajifanya mnawajua watu sana,, tunaomba picha zenu na nyie tuwaone msonyooooo,,,,.
yaani ustaarabu ni kitu cha bure kosoa panapostahili sio kukosoa ilimradi comment yako ionekane.
yaani kiboko yenu ni mimi mnaongea ndo kwanza naanza yaani mkae mkijua tena nawapasha mpashe mpashike na heshima muweke msijisumbue kunisema maana haitasaidia ninachowambia,, I’m sorry if you don’t like me ,but the truth is  i don’t  plan on changing for anybody
so jipange

Lope Lope of all trades
Sintalicious
Mrs Christine JM
Unstoppable
Nothing but confidence
Jeshi la mtu mmoja
Mtambo wa kurekebisha tabia za  waliolala na wasiojielewa
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
Sintah
mengine malizia  nawatakia Alhamisi njema wale mnaojielewa wale wasiojielewa endeleeni kutukana  labda kipaji.