Mpenzi msomaji wa blog hii,naomba tuongelee rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga.
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.
Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu tujifunze pamoja.
Katika
swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata
mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .
Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.
Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
".........Nilikutana
na boyfiriend wangu maeneo ya Shycom …tukaelekea kwenye disko.
Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza
kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu
tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues.
Miili
yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za
muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu.
Alivyogusa
shanga zangu akawa kama mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we!
Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa ham yake ilikuwa juu....."
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.
Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO KITANDANI NA MPENZI WAKO
Nyekundu: ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba
mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio
kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa
kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).
Nyeupe: ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.
Nyeusi: ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani,
kwa hiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia siku nzima kutafuta goli
haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama
kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.endelea kutemb