January 7, 2013

Binti aliekunywa Bia nyingi Mpaka kulala chali Hadi Kujikojolea


 Huyu ni mwanamke  aliyekutwa  akiwa  hoi  baada  ya  kunywa  pombe  kupita  kiasi.....

Sakata hili ambalo  lilitokea katika  party  ya rafiki yake lilizua  gumzo  kubwa baada  ya  mrembo  huyu  kujikojolea....



Mwanzo  alionekana  akiwa  ni  mtu mwenye furaha na  mchangafu.Baada  ya  pombe kumwelemea,  binti huyu alijisogeza pembeni na  kujilaza  na  ndipo  aibu  ya kujikojolea  ilipomkumba


TAHADHALI

Ulevi ni noma!!!!!!!!!!!!!