Blogger Widgets

March 4, 2013

Wakati Leo ndio Uchaguzi wa Kenya Askari wanne wauwawa na Kundi la MRC


kenyavote1.jpg.size.xxlarge.letterbox
Takriban polisi wanne mjini Mombasa, Kenya, waliokuwa wamesambazwa kuhakikisha amani kwenye uchaguzi wa urais unaofanyika leo wamevamiwa na kuuawa na kundi la watu saa chache kabla ya vituo vya kupigia kura kufunguliwa.
Kwa mujibu wa BBC washambuliaji waliokivamia kituo cha polisi mjini Mombasa wanashukiwa kuwa wafuasi wa kundi la Pwani la Mombasa Republican Army (MRC) ambao wamekuwa wakipigania uhuru wa jimbo la Pwani.

Hata hivyo shambulizi hilo huenda halihusiani na masuala ya uchaguzi.