Blogger Widgets

September 18, 2012

HII Ndio Sababu aliyoitoa The Game albam Yake kuuita"JESUS PIECE"Baada ya kubaatizwa na kurudi kanisani.Lakini?



Member wa zamani wa G-Unit The Game, anamuonekano mpya sasa baada ya kuweka wazi kuwa alibatizwa last summer kitu  ambacho kimemfanya awe serious zaidi katika dini.

Game anaonekana kumkumbuka sana Mungu sasa hivi na anajitahidi sana kuishi maisha flani tofauti kidogo na ile thug life ama yale maisha ya u-gang star. lakini pamoja na jitihada hizo the West Coast rapper amekiri kabisa kuwa bado anamtihani coz bado anapenda zile bata kama enzi zile kabla ya kubatizwa na bado anazigusa gusa.
”I still love the strip club and I still smoke and drink” aliweka wazi huyu kiongozi wa kundi la Black Wall Street katika interview aliyopiga na Jenny Boom Boom TV.  

Hongera  Game kwa kuwa muwazi.

Lakini pia Game ameelezea kuhusu title la album yake mpya “JESUS PIECE” ambayo yeye mwenyewe aliitabiria kuwa itakuwa the best album kwa mwaka huu, kwa tweet yake mwanzoni mwa mwezi huu iliyosomeka “Jesus Piece will be the best album to come out this year!!”.

Kabla ya kuipa title la “Jesus Piece” Game alikuwa ameamua kuiita album yake F.I.V.E (Fear Is Victories’ Evolution), na sababu ya kwanza ni kukwepa kujirudia kwa neno “Five” kwa sababu Trey song ametoka na Chapter Five na 5O cent  Murder s by Five.

Game alimwelezea DJ skee jinsi alivyopata hii title ‘Jesus Peace”  kuwa kwanza walifanya ngoma na Kanye West inayoitwa Jesus Piece, halafu siku moja walikuwa studio na Dre,  Dre akasema ‘We should call this album Jesus Piece, You know how much controversy that will be?’’ ndo wazo lilipoanzia. Na baada ya kuamua kubadili title alianza kufanya tracks zinazoendana na jina la title hii mpya na sio F.I.V.E tena.

 “Nadhani watu wataapreciate hii concept wakisikiliza huu muziki, na Jesus Piece inanipa nafasi ya kuongea kuhusu situation ambayo watu kama mimi ambao wanampenda Mungu lakini bado wanataka kubaki walivyo kimtaa without going the pastor Mase route. Inanipa nafasi ya kujua kuwa it’s somebody out there who feels them” alimaliza hivo Game.

No comments:

Post a Comment