Blogger Widgets

June 20, 2014

Tazama Picha za Fumanizi Lililo Make Headline Baada ya Mume Kumfumania Mke wake Akiwa na Rafiki wa Mume wake

Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha.


 
Picha tofauti juu zikionesha mke wa mtu na mgoni wake katika fumanizi liliotokea.
Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha rafiki yake na kufanya mchezo wa kikubwa.

KERO YAVUJISHWA NA MAJIRANI
Wapangaji wenziye na Jack wamedai kuwa, mke huyo wa mtu ambaye ana miezi miwili tangu aolewe kutoka mkoani Tabora, amekuwa kero katika nyumba hiyo kwani amekuwa akipiga kelele za kimahaba nyakati za asubuhi ambapo watu wengi wanakuwa wakielekea kazini.

Hii ni nyumba waliyopanga wafumaniwa hao.
“Hata sisi wanawake tunaoishi nyumba hiyo tuna waume zetu tunawalilia lakini kinachotusikitisha mwenzetu anamlilia Jazira badala ya mumewe ambaye anakuwa amekwenda kazini,” alisema mmoja wa wapangaji wa nyumba hiyo.

Baadhi ya raia waliofika kushuhudia tukio hilo.
MLINZI ABUMBURUA   
Imeelezwa kuwa, siku hiyo mlinzi wa msikiti alikwenda kumwamsha Ngosha kwenda kusogeza gari lake ili watu wapite na alipofika katika chumba chake, alikuta mlango wa sebuleni ukiwa wazi lakini hakukuwa na mtu, ila chumbani kwake kulisikika redio ikizungumza kwa sauti kubwa.


June 5, 2014

Picha: Msiba wa Tyson wamaliza ugomvi wa Wema na Kajala? TAZAMA PICHA

Huenda ule ugomvi kati ya Wema Sepetu na Kajala ukawa umeisha kutokana na matukio mbalimbali ya picha hasa za msiba wa George Tyson.
Kajala na Masanja
Kajala na Aunt Ezekiel
Mtandao wa Global Publishers umedai kuwa ugomvi Wema Sepetu na Kajala Masanja umekwisha kufuatia kukalishwa katika kikao cha siri kilichofanyika kwenye msiba wa aliyekuwa muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’.
Aunt Ezekiel,Kajala pamoja na wenzake
Aunt Ezekiel,Kajala pamoja na wenzake
Hata hivyo, katika mazishi ya marehemu Rachel Haule katika makaburi ya Kinondoni Wema Sepetu na Kajala Masanja kila mmoja alikaa kwa kundi lake.
Wema akiwa amekaa na wenzake
Wema akiwa amekaa na wenzake kwenye msiba wa Rachel Haule

Picha: Kama huyu ndio msichana aliyebakwa na mume wa Flora Mbasha, basi ni shidaah!! Na Kwa Style Hii Mume wa Florah Mbasha Lazima Uzarendo Umshinde

10376292_10152056011617000_3889682337102053884_n 
Mume wa muimbaji wa muziki wa injili Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameendelea kulikimbia jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka shemeji yake. Hadi sasa haijulikani alipo. Hata hivyo, picha ya anayedaiwa kuwa ndiye shemeji yake imesambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuzua utata mtupu. Unahisi Mbasha

Soma Story Iliyomake HeadLine Kuhusu Habari kuvunjika kwa Ndoa ya Florah Mbasha Na Mume Wake

BAADA ya kudumu kwa zaidi ya miaka 10, imebainika kuwa ndoa ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili Bongo, Flora na mumewe Emmanuel Mbasha ipo chali kwa maana ya kuanguka huku ikidaiwa kuwa, kusimama imara tena inawezekana lakini ni kazi kubwa, Amani limefukunyua mazito.
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha.
Hilo limejitokeza wiki moja baada ya madai ya mwanaume huyo kudaiwa kumbaka shemeji yake na kesi ipo polisi.

Imeelezwa Flora na mumewe ambao walifunga ndoa Agosti 22, 2002 wamepita katika migogoro mizito lakini wawili hao walikuwa wakiyamaliza kifamilia hadi kufikia hili la hivi karibuni ndilo lililoziba mataumaini ya wawili hao kuishi kama mume na mke.
 

Chanzo kilicho karibu na wawili hao kimeeleza kuwa, mzizi wa wawili hao kugombana ulichochewa na mwanamke mmoja (jina tunalo) ambaye alikuwa akikinzana na ushauri wa Mbasha mara kwa mara.


“Kuna vitu Mbasha alikuwa akimshauri huyo mama lakini walikuwa wakipishana Kiswahili  na hapo ndipo tatizo lilipokua hadi kufikia hatua ya kumwagana,” kilisema chanzo.

Flora na mumewe Emmanuel Mbasha wakiwa kwenye pozi.
TUJIUNGE NA MBASHA
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Emmanuel alizungumza na mwandishi wetu ambapo alikiri ndoa yake haina uhai tena na si rahisi kurejea katika hali ya kawaida licha ya kudai kuwa bado anampenda mkewe.

Soma Story Ya Msani wa Kike wa Bongo Movie Aliyeamka Asubuhi na Kukuta Kachanjwa Chale Mwili Mzima...Anadai Yalitaka Kumtokea Kama Ya Marehemu Rachel

Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’. 
MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho.
Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo hakujua ni nani aliyemfanyia ‘unyambilisi’ huo usiku kwani alishtuka asubuhi na kuona akivuja damu zikiashiria kuchanjwa kwa wembe
Marehemu Recho Haule enzi za uhai wake.

June 2, 2014

Tazama Picha Jinsi Diva wa Clouds Fm Atakavyouza Kwenye Video ya nyimbo ya WAUE ilioimbwa na Chege na Temba


Mwanadada, Mrembo, Muimbaji,Mtangazaji  wa Clouds FM, DIVA THE BAWSE kwa mara ya kwanza ataonekana kwenye VIDEO ya nyimbo ya Waue ilioimbwa na Chege na Temba chini ya Mkubwa Fella.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM  mwanadada huyo aliweka picha akiwa yupo LOKESHENI waki SHUT video hiyo...

Diva aliandika hivi:
wauwe location .. Video @chegechigunda Nitaonekana Katika Video ya Chege ..... and am so Excited ������

Tazama Jinsi Nicki Minaj alivyotokea akiwa na kinguo kinachoonyesha maziwa yake, Rihanna akasirishwa na perfomance yake

 Hajawahi kuwa mmoja wa wanaoficha maungo yao kwa nguo  kubwa lakini alichovaa siku ya jana ilikuwa ni hataru tupu.

Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye  kuonyesha maziwa yake kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.

Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj alipomrukia Drake kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake na kumuwekea mikono mabegani  na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye kiuno cha Nicki,
 kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris Brown.

Tazam Picha zinazomake Headline za X-Girlfriend wake Davido

Huyu anaitwa Nish Kards, kutoka Ghana alikuwa mpenzi wa mwanamziki maarufu kutoka Nigeria, Davido, Kupitia ukurasa wake  INSTAGRAM, followers wake wamekuwa wakimfananisha na Kim Kardashian na kumuita The Ghana’s Kim Kardashian.....Hebu tumuone KOZ hata kajina  kiana kama la KIM..
PHOTO’S: Kili Music Tour yavunja rekodi MWANZA.Tazama Picha Mbali Mbali

BEN POL (1)
Msanii wa Bongo flava, Ben Pol akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mwanza wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Bongo flava artiste Ben Pol entertains thousands of Mwanza residents during the ongoing Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
CHRISTIAN BELLA (2)
Msani wa muziki wa dance, Christian Bella akikonga nyoyo za wakazi wa Mwanza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Renowned artiste Christian Bella doing what he does best during the ongoing Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
FID Q (2)
Msanii wa bongo flava, Fid Q akizungumza na wakazi wa Mwanza wakati akitumbuiza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Bongo flava artiste Fid Q speaks to Mwanza residents during his performance at the Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
IZZO B
Msanii wa Bongo Flava Izzo Biznez akifanya vitu vyake wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Bongo flava artiste, Izzo Biznez perfoming during the Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
NYOMI (1) OMMY DIMPOZ (6)
Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz wakimakinika katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Vanessa Mdee and Ommy Dimpoz doing a collabo during the Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
RICH MAVOKO (8)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rich Mavoko akipagawisha wakazi wa Mwanza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Renowned Bongo flava artiste, Rich Mavoko did not disappoint during the Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
VANNES MDEE (1)
Vanessa Mdee na Fid Q wakishirikiana kutoa burudani wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Vanessa Mdee and Fid Q making it happen during the Kili Music Tour concert held at Kirumba Stadium in Mwanza that attracted thousands of fans. The tour is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
WEUSI (7) YOUNG KILLER (4)

Nyota Ndogo aelezea kwanini anahofia video yake ya ‘utupu’ inaweza kuvuja, na kilichomtokea hadi kurekodiwa akiwa mtupu.Soma kisa Kilivyokuwa

Muimbaji kutoka Mombasa, Kenya Nyota ndogo amejikuta katika hali ya wasiwasi baada ya kukutwa na mkasa wa karne hivi karibuni.
nyota
Nyota ameelezea kilichomkuta baada ya kuingia kwenye chumba cha hoteli ili abadili nguo, na kwa bahati mbaya alivua nguo zake mbele ya kioo cha chumba hicho bila kujua kioo hicho upande wa nje kinaonesha live bila chenga.
Kupitia akaunti yake ya Facebook Nyota Ndogo ameelezea kilichomsibu:
“yani nimekwenda show.nikapewa chumba chakubadili nguo.nimevua nguo zote najipaka mafuta pole pole kumbe najiangalia kwa kioo kumbe upande wapili naoneka kila kitu.yani nimekosa amani…aibu nilio iona mungu ndio anajua.sijui wamechukua video..haya ngoja tusubiri”.

nyota1

Hata hivyo Nyota amewapunguza wasiwasi mashabiki wake walio comment kumpa pole kwa kusema alibakiwa na nguo za ndani wakati hayo yanatokea.
“hapana nilibakisha cha ndani na nyonyo ilikua na nguo pia.kitu sielewi ni alienipeleka kubadili nguo ina maana hakujua nje naonekana?maana aliambia kioo hiki jiangalie mpaka miguu.”

nyota2